Loading...
「ツール」は右上に移動しました。
0いいね 462回再生

Zuchu - Mama (Lyrics)

Mama lyrics - Zuchu | Peace & Money Album
Stream/Download

Verse 1;
Rafiki yangu kwenye shida, rafiki yangu kwenye raha
Niko naye kila mida, hajawai nikataa
Yuko radni mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa
Sio mwengine ni mama, Labda nikupe picha
Uone nafasi, yako manaa Kikukosa kwenye
maishaa
Eeh kiukweli, itanichanganya

Chorus;
Eeh Mitihanii, Yake yangu mimii, Nikulipe ninii
Kiasi gani mi sionii, oh mama
Mamaa, I love you mamaa
Mamaa, Nakupenda sanaa
Mamaa, I love you mamaa
Mamaa, Nakupenda sanaa

Verse 2;
Eh Mola ulivejaa rehema natanguliza shukrani (Asante)
Bila hutu mama mwema angekuwa mgeni wa nani (Asante)
Mnaowanjia heshima nye mnaezaje kwani
Mimi wangu akinuna moyo unakosa amani

Chorus;
Mitihanii, Yake yangu mimii, Nikulipe ninii
Kiasi gani mi sionii, oh mama
Mamaa, I love you mamaa
Mamaa, Nakupenda sanaa
Mamaa, I love you mamaa
Mamaa, Nakupenda sanaa

Outro;
Hey mamangu njoo tucheze kandili
(Kandili katikatikati katikati)
Cheza kandili (Kandili katikatikati katikati)
Tingiza kiwiliwili (Kandili katikatikati katikati)
Kaka (Kandili kati)

Tags;
Zuchu new album peace and money
Zuchu new song
Mama lyrics by Zuchu
Zuchu mama lyrics
Peace and money album
Mama by Zuchu
#Zuchu #PeaceandMoney #Wasafi #Lyrics