Loading...
「ツール」は右上に移動しました。
0いいね 21994回再生

MAANDAZI YA CARROTI MATAMU SANA

najua watu wengi sana tunapenda maandazi ila unachoka sababu ladha ni ile ile basi Leo nimejaribu kupika maandazi ya carroti MATAMU sana.
kwa recipe zingine za maandazi bonyeza link hii
MAANDSZI/VITAFUNWA
   • SNACKS //VITAFUNWA